Kila kijana anapenda kwenda na wakati hasa kaatika swala la technology.
Tuta tumia muda mfupi tu kumpatia kijana mafunzo yanayo husiana na maswala ya ulinzi wa wa wizi wa kimatandao pia tutakupa uelewa wa namna ya wizo huo unavyo fanyia pamoja na namna ya kutafuta kifaa chako kilicho potea / ibiza mfano SIMU , LAPTOP.
Mambo makuu ambayo utaweza kujifunza;
- Namna ya wizi wa kimtandao unavyo fanyika (mbinu + nyenzo)
- Namna ya kuiitafuta na kupata taarifa ya SIMU ,LAPTOP iliyo ibiwa/potea.
-Namna ya kupata taarifa (jina pamoja na password) za FACEBOOK, INSTAGRAM, EMAIL
Mafunzo haya yatafanyika kwa njia ya Mtandao (whatsapp).
Ili uweze kushiriki mafunzo haya utapaswa kulipia Ada ya Tsh 25,000/=

0 Comments