Ticker

6/recent/ticker-posts

Aliyetengeneza kituo cha Radio Kigoma akibomoa, ‘TCR walikuja naenda DAR kusoma’

 Mbunifu Zuberi Ismail mkazi wa Manispaa ya Kigoma ujiji ambae hivi karibuni ameweza kubuni kituo cha radio kinachorusha matangazo yake kutokea nyumbani kwao.


Leo July 15, 2022 ameingia tena kwenye vichwa vya habari baada ya kubomoa kituo hicho na kueleza sababu zake .

Endelea kutufuatilia ili uweze kupata taarifa zaidi




Post a Comment

0 Comments